Mamlaka ya nchini Mexico limeanza
msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman gwiji la biashara ya madawa ya
kulevya duniani, kufuatia kutoroka kwake katika gereza lenye ulinzi
mkali mwishoni mwa wiki.
| Joaguin Guzman |
Wafanyakazi wa magereza wanahojiwa baada kubainika kuwa Joaguin alitoroka kupitia njia ya nchini ya ardhi yenye urefu wa kilomita moja na hii ni mara ya pili kutoroka.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Loretta Lynch, ametoa msaada wa kumkamata Guzman ambae pia hujulikana kama ' El Chapo ' .
No comments:
Post a Comment