AJALI YA BASI NA TRENI YAUA 5 NA KUJERUHI 24 WILAYANI KILOSA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard
Paulo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa ajali hiyo
imetokea leo majira ya saa 1 asubuhi na imetokana na uzembe wa dereva wa
basi.
Naye Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wiaya
Kilosa, Dickson Masale amethibitisha kupokea miili ya watu watano
akiwemo dereva wa basi pamoja na majeruhi 24. Taarifa zaidi pamoja na
picha za ajali hiyo kuwajia hivi punde.
SOURCE: Global Publishers
No comments:
Post a Comment