Monday, 22 June 2015

SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA

Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa katika pozi na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shilole alitiriria kuwa, kwa muda mrefu amekuwa akibanwa na kazi zake za muziki ambazo anafanya na mpenzi wake huyo kiasi kwamba hawakufikiria kuhusu kupata mtoto mapema.
“Kwa sasa nimepanga kumbebea mimba na kumzalia Nuh,” alisema Shilole au Shishi Baby.

No comments:

Post a Comment