Ukweli wa Taarifa zinazoenea Kuwa Mwanamuziki HUSSEIN MACHOZI Amefariki Dunia Huu Hapa
Hizi Habari zinazoenea Kuwa Hussein Machoz amefariki sio za Kweli Hussein amekanusha....
Taarifa za Kizushi zimefanya mama yake mzazi akazimia na Dada yake
kukimbizwa Hospitali kwa Mshtuko.... PINGA USAMBAZAJI WA HABARI KIPUUZI
BILA KUTHIBITISHA....
No comments:
Post a Comment