Mapema rais Obama alisema kuwa Marekani inafungua ukurasa mpya wa uhusiano kati yake na Cuba na ana matumaini kuwa utasaida watu wa Cuba kufanya uamuzi wao siku za usoni.
Saturday, 11 April 2015
Obama na Castro wakutana Panama
Marais wa Marekani na Cuba
wameamkuana kwa mikono na kuzungumza kwa muda mfupi wakati wa kuanza kwa
mkutano wa nchi za Amerika ambayo ni ishara ya uhusiano uliopo kati ya
nchi hizo mbili.
Rais Obama na mwenzake RaulCastro wanatarajiwa
kuwa na mazungumzo ya kihistoria nchini Panama leo jumamosi ambayo ni
mazungumzo ya kwanza ya aina hiyo kati ya viongozi wa Marekani na Cuba
kwa zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mapema rais Obama alisema kuwa Marekani inafungua ukurasa mpya wa uhusiano kati yake na Cuba na ana matumaini kuwa utasaida watu wa Cuba kufanya uamuzi wao siku za usoni.
Mapema rais Obama alisema kuwa Marekani inafungua ukurasa mpya wa uhusiano kati yake na Cuba na ana matumaini kuwa utasaida watu wa Cuba kufanya uamuzi wao siku za usoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment