Habari mpya kutoka ndani ya klabu hiyo ni kuhusu mchezaji wao Robin Van Persie imesema ipo tayari kumpa ofa ya pauni milioni 5 ili aihame klabu hiyo msimu huu.
Mkongwe huyo mwenye miaka 31 amebakiza miezi 14 ili amalize mkataba wake na klabu hiyo ambayo kwa wiki imekuwa ikimlipa 250,000.
Van Persie amekuwa akiandamwa na majeruhi kwa muda mrefu lakini ameisaidia Man U kufunga magoli 10 katika ligi kuu.
No comments:
Post a Comment