Sergio Aguerro alikuwa wa kwanza kuiweka City kifua mbele lakini vijana wa Old Trafford walisawazisha kupitia Ashley Young .
Katika mechi ya mapema viongozi wa ligi Chelsea waliendelea na matokeo mazuri baada ya kuwachapa wenyeji wao QPR bao 1-0.
Kiungo wa kati wa Chelsea Cesc Fabregas ndiye aliyefunga bao hilo la pekee
No comments:
Post a Comment