Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala
Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani
kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu
kama faini ili asiende jela miaka saba.
Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala alisema kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.
“Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea kila siku tena kwa mabaya,” alisema Kajala
No comments:
Post a Comment