Jaji wa mahakama ya jimbo la North
Carolina nchini Marekani amemhukumu mkurugenzi wa zamani wa shirika la
kijasusi la CIA, Jenerali David Petraeus kwa makosa ya kutoa siri za
kijeshi kwa mpenzi wake.
Mwandishi wa BBC jijini Washington amesema kuwa inaaminika kuwa Petraeus ataendelea na kazi yake ya sasa ya Mshauri wa maswala ya usalama Ikulu.
No comments:
Post a Comment