Shirikisho la soka duniani Fifa
limetangaza viwango vya ubora vya mchezo wa soka kwa mwezi Septemba
ambapo taifa la Argentina limeendelea kuongoza katika chati hiyo.
| Kikosi cha timu ya taifa la Argentina |
Kwa upande wa Afrika mashariki Uganda wako juu wakiwa nafasi ya 75,Rwanda iko katika nafasi ya 93 huku Burundi wakijichimbia katika nafasi ya 113, kenya wao wako nafasi ya 131 na Tanzania ikiwa nafasi ya 136.
Orodha ya kumi bora
1 Argentina
2 Germany
3 Belgium
4 Portugal
5 Colombia
6 Spain
7 Brazil
8 Wales
9 Chile
10 England
No comments:
Post a Comment