| Blatter |
Rais wa shirikisho la kandada
duniani FIFA Sepp Blatter, amekataa wito kutoka kwa baadhi ya wafadhili
wakuu wa shirikisho hilo wa kumtaka ajiuzulu mara moja.
Visa inasema kuwa hakuna mabadiliko yoyote ya maana yanaweza kufanyika katika kipindi cha usimamizi wa sasa.
Utawala nchini uswisi unamchunguza bwana Blatter kama sehemu ya uchunguzi wake kuhusu ufisadi.
No comments:
Post a Comment