Polisi waliwafyatulia risasi wafanyakazi 34 wa mgodi katika machimbo ya Lonmin, wakidai kuwa walikuwa wakijihami.
Kwa upande wa Familia, wakili wao ameripotiwa kuunga mkono tangazo la Zuma.
Vyama vya upinzani vimetaka hoja hiyo ifikishwe bungeni ijadiliwe ili waweze kupima na kutenda haki kwa familia hizo.
No comments:
Post a Comment