| Phil Simmons |
Eldine Baptiste, amechaguliwa kuwa mkufunzi wa kikosi kitachokwenda kushiriki michuano itakayoanza Octoba 14 nchini Sri Lanka.
Mwenyekiti wa bodi ya mchezo wa kriketi ya West Indies, amethibitisha kuwa kocha huyo ameondolewa kwenye timu na hatosafiri na timu
No comments:
Post a Comment