Wednesday, 1 July 2015

AJALI YA BASI NA TRENI YAUA 5 NA KUJERUHI 24 WILAYANI KILOSA

 



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa ajali hiyo imetokea leo majira ya saa 1 asubuhi na imetokana na uzembe wa dereva wa basi.

Naye Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wiaya Kilosa, Dickson Masale amethibitisha kupokea miili ya watu watano akiwemo dereva wa basi pamoja na majeruhi 24. Taarifa zaidi pamoja na picha za ajali hiyo kuwajia hivi punde.

 

SOURCE: Global Publishers

No comments:

Post a Comment