| Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko na Utalii wa TANAPA Bw. Ibrahim Musa wakati alipowasili kwenye klabu ya Yacht, Jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji watanzania kutembelea Mbuga za Taifa iliyozinduliwa leo jijini humo ikiwashirikisha Bodi ya Utalii Tanzania TTB, kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi. Kampeni hiyo inaanza kesho Julai 1 itakuwa ni ya miezi 6 mpaka Desema 31 na kauli mbiu yake inasema "Tembelea Hifadhi Uzawadiwe". |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi wakati wa uzinduzi huo. |
| Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongozana na Mkurugenzi wa Masoko na Utalii TANAPA Bw. Ibrahim Mussa na Johnson Manase Meneja wa Utalii TANAPA. |
Baadhi ya maofisa wa TANAPA wakiwa katika uzinduzi huo.
|
Wahariri wakifuatilia matukio mbalimbali katika uzinduzi huo.
|
Mwandishi Jimmy Mengere na Kasilda Mrimira wakiperuzi simu zao wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.
|
Mkurugenzi wa TANAPA Dr. Allan Kijazi akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Mwanza leo.
Mkurugenzi
wa Masoko na Utalii TANAPA Bw. Ibrahim Mussa kulia na Kaimu Mkurugenzi
wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi wakifuatilia matukio
katika hafla hiyo.
|
Baadhi ya magari ya kubeba watalii yaliyozinduliwa leo katika kampeni hiyo iliyozinduliwa jijini Mwanza.
Waziri Nyalandu akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo
Waziri
Nyalandu akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo na
kuwaasa wanafunzi wa vyuo vikuu kushiriki kikamilifu katika Kampeni hiyo
Waziri
Nyalandu akikata utepe kuzinduz boti maalum za kubeba watalii kutoka
jijini Mwanza kuelekea kisiwa cha Saanane kwa ajili ya kujionea utalii
ulioko katika kisiwa hicho.
Waziri
Nyalandu akiwaaga baadhi ya watalii wa ndani waliokuwa wakiondoka na
boti kuelekea kiswa cha Sanane kilichopo mkoani Mwanza.
Boti iliyobeba watalii hao wa ndani ikiondoka jijini Mwanza kuelekea kisiwa cha Sanane
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa magari ya kubeba watalii jijini Mwanza katika mpango
wa kampeni ya kuhamasisha watanzania kutembelea mbuga za taifa.
Waziri
Nyalandu akipiga picha ya pamoja na wahariri wa vyombo vya habari mara
baada ya kuzindua magari ya kubebea watalii jijini Mwanza.
Waziri Nyalandu akiwaaga watalii hao wakati walipokuwa wakiondoka.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi na
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu wakipiga picha ya
pamoja na kupongezana mara baada ya uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi akiwaaga watalii hao wakati walipokuwa waiondoka.
(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MWANZA)
No comments:
Post a Comment