TIGO YATOA DOLA 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA
Meneja
Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza na waandishi wa
habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini
mkataba wa kusisaidia Hospitali hiyo. Kutoka kulia ni Ofisa Mtendaji
Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans na Daktari Bingwa wa
Mifupa wa Hospitali hiyo, Prosper Alute.
Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans akizungumza katika hafla hiyo.
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (wa pili kushoto), akibadilishana
hati na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT baada ya
kutiliana saini mkataba wa kusaidi matibabu ya ulemavu wa miguu Dar es
Salaam jana. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Mifupa wa Hospitali hiyo,
Prosper Alute na Meneja Uwajibikaji kwa Jamii, Woinde Shisael.
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Picha mbalimbali zikionesha miguu iliyopinda.
Wanahabari wakiwa kwenye hafla hiyo.
Joyce
Moshi akiwa amembeba mtoto wake Gedion ambaye anatibiwa katika
Hospitali hiyo kutokana na miguu yake kupinda ambapo sasa anaendelea
vizuri.
No comments:
Post a Comment