Mwanasiasa wa mrengo wa kulia nchini
Uholanzi Geert Wilders anasema kuwa atapeperusha picha za vibonzo vya
kumhusu mtume Mohammed katika kituo cha runinga cha taifa nchini
Uholanzi hii leo.
Geert Wilders
Anatumia muda uliotengewa vyama vya kisiasa. Vibonzo
hivyo ni vile vilivyoonyeshwa katika warsha moja wa jimbo la Texas
nchini Marekani mwezi uliopita wakati watu wawili waliuawa na walinda
usalama.
Bwana Wilders alikuuwa mzungumzaji kati tamasha hilo.
Matangazo
ya vibonzo hivyo yanafanyika wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan na
balozi zote za Uholanzi kote dunia zimewekwa katika hali ya tahadhari.
No comments:
Post a Comment