WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Mkuranga mkoani Pwani na kupora fedha kisha kumuua askari mmoja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafary
Mohamed ameuthibitishia mtandao huu kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa
sasa yupo njiani kuelekea eneo la tukio.
|
No comments:
Post a Comment