Zitto Kabwe Aanza Vizuri ACT Wazalendo, Afanya Mkutano wa Kwanza Songea, Watu Wafurika Kumsikiliza.
Picha Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Z.Kabwe akihutubia umati
mkubwa wa wana Songea waliohudhuria kumsikiliza,ikiwa ni ziara yake ya
kwanza toka ang'atuke katika chama cha CHADEMA.
No comments:
Post a Comment