| Nyota wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. |
“Ungemuona kiukweli ungemuonea huruma kwani alijikuta akisikitika na kujiuliza kwanini amekuwa mtu wa matukio kila wakati,” kilisema chanzo chetu.Baada ya kupata nyepesinyepesi hizo, gazeti hili lilimwendea hewani muigizaji huyo ambaye alikiri kutokewa na tukio hilo, akisema wakati huo alikuwa njiani akielekea hospitali kwa ajili ya ‘kuchekiwa’ mguu huo kwani alikuwa akijisikia maumivu makali.
“Yaani we acha tu nashukuru ingawa nina maumivu makali kwa sasa nipo njiani naelekea hospitali kuucheki kwani ndio mguu uliobaki ninaoutegemea,” alisema Wastara.
No comments:
Post a Comment