Thursday, 9 April 2015

WANAFUNZI WA TANZANIA WANAOSOMA CHINA WAPATA VIONGOZI WAPYA‏


Viongozi wapya waliochaguliwa katika mkutano mkuu wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu ya uchaguzi huo.
Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Beijing nchini China wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo na kuwapata viongozi wapya baada ya kuchaguliwa kuongoza Jumuiya hiyo kwa mwaka 2015/2016

No comments:

Post a Comment