Viongozi wapya waliochaguliwa katika mkutano mkuu wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu ya uchaguzi huo.


Wanafunzi wa Kitanzania
wanaosoma Beijing nchini China wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
kumalizika kwa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo na kuwapata viongozi wapya
baada ya kuchaguliwa kuongoza Jumuiya hiyo kwa mwaka 2015/2016

No comments:
Post a Comment