![]() |
Staa mrembo
wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole ‘Shishi Bybee’ amewataka watu
wamuache afanye kile anachokitaka kwenye maisha yake na sio kumpagia
aishi vipi.
Shishi Bybee
aliyasema hayo mara baada ya baadhi ya watu kumshambulia kwa maneno
baada ya kuweka picha picha akiwa yupo kwenye bwawa la kuogelea.
“Yaani
watu mnapenda kunipa raha sana mimi mwenywe nimejikubali na mimi nipo
swimming mlitaka nivae dela??? Nioge nalo kwa hiyo tunapangiana na
maisha ya nyumban pia lol! Kila mtu na life yake naombeni mniache
nifanye yangu” Shishi alisema.
|
Thursday, 9 April 2015
Shilole Awataka Watu Wamuache Afanye Yake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment