Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kwamba taji la mchezaji bora duniani Ballon d'Or linafaa kuondolewa. Mourinho anasema kuwa lengo la soka linabadilika kutoka timu za soka hadi kwa wachezaji binafsi.
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
''Tuanaangazia
mchezo wa mchezaji mmoja, pasi alizotoa na amekimbia kilomita ngapi
uwanjani.Pengine ulikimbia kilomita 11 na mimi nilikimbia kilomita
tisa,lakini kilomita zangu zilikuwa muhimu kushinda zako'',alisema
Mourinho. Amesema kuwa Chelsea boss Jose Mourinho believes the Ballon d'Or should be scrapped. Je,
unadhani FIFA inafaa kulifutilia mbali taji la mchezaji bora
duniani.Ingia katika mtandao wetu wa facebook katika bbcswahili uweke
maoni yako.
No comments:
Post a Comment