Pambano kati ya wawili hao linatarajiwa kufanyika mnamo May 2 mwaka huu, huku pigano hilo likitajwa kuwa ndio la pesa nyingi zaidi katika historia ya ngumi duniani.
Thursday, 16 April 2015
Mkwara wa Floyd Mayweather hadharani
Katika hali isiyotarajiwa bondia
raia wa Marekani Floyd Mayweather ameamua kufanya mazoezi ya wazi na
kuruhusu vyombo vya habari kuchukua picha ikiwa ni maandalizi kuelekea
katika pambano lake dhidi ya bondia Manny Pacquiao raia wa Philippine.
Mayweather
ambaye ni bingwa wa WBA na WBC, ameweka rekodi ya kucheza mapambano 47
ya kulipwa bila kupoteza hata moja wakati mpinzani wake amepigana
mapambano 57, akiwa amepigwa mara tano na kutoka sare mara mbili.
Pambano kati ya wawili hao linatarajiwa kufanyika mnamo May 2 mwaka huu, huku pigano hilo likitajwa kuwa ndio la pesa nyingi zaidi katika historia ya ngumi duniani.
Pambano kati ya wawili hao linatarajiwa kufanyika mnamo May 2 mwaka huu, huku pigano hilo likitajwa kuwa ndio la pesa nyingi zaidi katika historia ya ngumi duniani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment