Dereva nambari moja duniani Lewis
Hamilton wa timu ya Mercedes ameibuka bingwa kwa mara nyingine katika
shindano la mbio za magari ya langalanga ya China Grand Prix.
Hamilton
aliendesha kwa kasi zaidi na kufanikiwa kupata ubingwa huo huku dereva
mwenzake wa timu hiyo Nico Rosberg akimaliza katika nafasiya ya pili.Nafasi ya tatu ilimwendeaa Sebastain Vettel wa Ferrari huku ya nne ikimangukia Kimi Raikkonen vilevile kutoka timu ya Ferrari.
No comments:
Post a Comment