Wizkid
akiwa na Mshindi wa Big Brother Africa wa mwaka 2014 Idris wakiwa
katika picha ya pamoja chini Afrika ya Kusini jana usiku.
Wizkid, Jeremiah Ogbodo na mashabiki zao.
Permithias akiwa katika pozi.
Idris na Wizzy walifika katika klabu hiyo wakiwa sambamba na wanamuziki wengine maarufu wa Nigeria wakiwemo Permithias, Tonto Dikeh na Jeremiah Ogbodo.
Wizkid alipata nafasi ya kufanya ‘show’ alfajiri ya kuamkia leo na kukonga nyoyo za mashabiki waliofika katika viunga vya klabu ya Kong.
No comments:
Post a Comment