HALI ILIVYO DAR BAADA YA MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA KUGOMA
Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao.
Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya.
Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.
Umati ukiwa ndani ya kituo cha mabasi cha Ubungo
Kamanda
wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, akiwatuliza
madereva waliogoma na kuwaahidi kutatuliwa tatizo lao.
Polisi wakifanya doria maeneo ya Ubungo kuangalia hali ilivyo barabarani.
Mabasi
yakiwa yameegeshwa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani, Ubungo, jijini
Dar, kufuatia madereva kufanya mgomo wakipinga kubadilishiwa leseni na
kutakiwa kwenda chuoni kabla ya kukabidhiwa leseni hizo.
No comments:
Post a Comment