Habari zilizosambaa leo mitandaoni moja
wapo ni hii ya Diamond Kumzuia Zari Ambae ni mama Kijacho wake kwenda
kujifungulia Sauz Afrika...Inasemekana Diamond Anataka ajifungulia hapa
hapa Bongo Muda utakapo fika ili iwe rahisi familia nzima kufurahi nae
badala ya kusafiri mpaka Sauz.
No comments:
Post a Comment