Picha mpya zimetolewa kuhusu wapiganaji wa Boko Haram ambao wanajielezea kuwa Islamic State Jimbo la Magharibi mwa Afrika. Kundi hilo limekuwa watiifu kwa wapiganaji wa Islamic State mwezi uliopita.
Kiongozi wa wapiganaji wa Boko Haram Abubakar Shekau |
Mwanachama wa kundi moja la kuweka usalama mtaani JTF ameiambia BBC kwamba mwanajeshi mmoja na walinzi watatu wa mitaani waliuawa wakati gari lao lilipopita juu ya mtego.
No comments:
Post a Comment