Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi,
Faiza Ally ameshtakiwa na binamu yake baada ya kudaiwa kumtishia kumuua.
Faiza ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Sugu ameandika kwenye Instagram: Nimefunguliwa
kesi na ndugu yangu ..RAHMA MOHAMED kwa kesi ya kutishia kuua – dah
kweli mtu akikusudia mabaya hashindwi – Mungu wangu nisimamie Ameen Niko
oyster-bay police.”

No comments:
Post a Comment