Nchini Burundi hali ya kisiasa
inaendelea kutokota, huku vyama vya upinzani vikitangaza kususia
uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuanza wiki ijayo.
Makundi ya kutetea haki za kibinadamu nchini Burundi yametoa wito kwa wapiga kura nchini humo kususia uchaguzi wa ubunge unaotarajiwa kufanyika siku ya Jumatatu.
Mashirika hayo yamesema kuwa kwa sasa mazingira ya kisiasa nchini humo hayawezi kuruhusu uchaguzi huru na wa haki, kufuatia miezi kadhaa ya ghasia.
No comments:
Post a Comment