Dzhokhar Tsarnaev aliyefanya shambulio la bomu katika mbio za marathon mjini Boston ameomba radhi kwa waathirika wa tukio hilo.
Tsarnaev
mwenye umri wa miaka 21 akizungumza mbele ya mahakama kabla ya
kuhukumia adhabu ya kifo,amesema alikuwa kusikiliza kila mtu ambaye
alizungumza kama shahidi wa tukio hilo, yeye mwenyewe alibainisha nguvu,
uvumilivu na heshima ya waathirika. Kufuatia kauli, ya hakimu (George
O'Toole) alinukuu mstari kutoka katika mashairi ya Shakespeare: '' uovu
uliofanywa utaishi baada ya wao , uzuri walizika mifupa yao ''.
Watu
watatu waliuawa na zaidi ya wengine mia mbili na sitini-walijeruhiwa
katika shambulio hilo miaka miwili iliyopita.Dzhokhar Tsarnaev pia
anahatia ya kusababisha kifo cha afisa wa polisi kwa risasi siku tatu
baada ya mashambulizi ya marathon.
No comments:
Post a Comment