 |
| Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi
cha Sungusungu, alipowasili katika Kijiji cha Hungumalwa, Jimbo la
Kwimba, mkoani Mwanza. |
 |
| Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa mapokezi wilayani Kwimba. |
 |
| Kinana akipuliza filimbi mara baada ya kuvishwa mavazi ya asili wakati wa mapokezi wilayani Kwimba leo. |
 |
| Kinana akiwaongoza Sungusungu mara baada ya kulakiwa na wananchi katika Kijiji cha Hungumalwa. |
 |
| Mbunge
wa Jimbo la Kwimba, Shanif Mansoor akielezea mbele ya Komredi Kinana
jinsi alivyosaidia kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika
jimbo hilo. |
 |
| Komredi
Kinana akiangalia ngoma iliyokuwa ikitumbuiza wakati wa kukaguaujenzi
wa mradi wa Zahanati katika Kijiji cha Hungumalwa, katika Jimbo la
Kwimba, mkoani Mwanza. |
 |
| Mbunge
wa Jimbo la Kwimba, Shanif Mansoor akishiriki ujenzi wa Zahanati ya
Hungumalwa iliyokaguliwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana |
 |
| Wananchi mjini Ngudu, Kwimba wakimlaki Komredi Kinana huku wakiwa na bando na kumsifu mbunge wao Shanif Mansoor. |
 |
| Wananchi
wakimlaki Komredi Kinana alipofika kushiriki uoandani wa miche ya miti
ya Kikundi cha wajasiriamali mjini Ngudu, Kwimba leo. |
 |
| Komredi Kinana akishiriki kupanda miche ya miti katika kikundi hicho kilichopo mjini Ngudu, wilayani Kwimba. |
 |
| Komredi
Kinana akifungulia maji alipofika kukagua ukamilishwaji wa ujenziwa
mradi huo eneo la Majengo Mapya, mjini Ngudu, wilayani Kwimba leo. |
 |
| Mmoja
wa akina mama wa Majengo Mapya mjini Ngudu, katika Jimbo la Kwimba
akitwishwa ndoo ya maji na Komredi Kinana baada ya kuufungua mradi huo. |
 |
| Mbunge
wa Jimbo la Kwimba, Shanif Mansoor akisaidfia kumtwisha ndoo ya maji
baada ya Komredi Kinana kuufungua mradi wa maji eneo la Majengo Mapya,
mjini Ngudu wilayani Kwimba. |
 |
| Wauguzi
n madaktari wa Hospitali ya Wilaya ya Ngudu wakisalimiana na Komredi
Kinana aliyekwenda kukagua jengo la wagonjwa mahututi (ICU), wakati wa
ziara yake Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza leo. |
 |
| Komredi
Kinana akisalimiana na Balozi Specioza Balele wa CCM Shina namba 12,
alipomtembelea wakati wa ziara yake Jimbo la Kwimba katika Mji wa Ngudu. |
 |
| Kikundi
cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu kikitumbuiza kwa ngoma ya asili
wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM kwenye Uwanja wa Mpira wa Ngudu,
wilayani Kwimba. |
 |
| Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akihutubia katika mkutano huo wa hadhara . |
 |
| Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa
hadhara kwenye Uwanja wa Mpira wa Ngudu, wilayani Kwimba, ambapo
aliitaka jamii wakiwemo mabalozi wa mashina kuimarisha ulinzi kwa watu
wenye ulemavu wa ngozi (ALBINO), ili kuepusha mauaji dhidi yao. |
Komredi
Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mpira wa
Ngudu, ambapo alikemea tabia ya wapinzania kuwahadaa vijana nchini kuwa
wakiingia madarakani wataweza kuwatekelezea kila kitu.
Komredi Kinana akiwapokea waliovihama vya vya upinzania na kujiunga na CCM kaatika mkutano huo wa hadhara.
Komredi Kinana akionesha baahai ya kadi za wapinzani walioamua kuhamia CCM.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chadema katika Kijiji cha wilayani Kwimba akizungumza
baada ya kuamua kukihama chama hicho na kuijunga na CCM wakati wa
mkutano huo.
Kinana
akikabidhi msaada wa baiskeli kwa watu wenye ulemavu Mjini Ngudu.
Msaada huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la Kwimba Shanif Mansoor.
Komredi
Kinana akiwa na Mbunge was Jimbo la Kwimba, Shanif Mansoor baada ya
kukabidhi msaada wa vyereheni kwa vikundi vya akina mama wa Jimbo la
Kwimba.
No comments:
Post a Comment