
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi,
alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya jana kwenye
Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwahamasisha maelfu ya
wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana uliofanyika katika Vianja vya Furahisha Jijini Mwanza.
'SAFI
SANA"Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aonyesha dole gumba ambayo
ni ishara ya CCM na kuonyesha kuwa mambo safi, alipowasili kuhutubia
mkutano wa hadhara kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. Kushoto
ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Malikia
wa taarab, Khadija Kopa akiongoza kuimba wimbo maalum wa CCM, wakati wa
mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrhmn Kinana uliofanyika leo, kwenye
Uwanja wa Furahiha jijini Mwanza



No comments:
Post a Comment