Wanavyuo
hao wapatao 1500 walioungana toka vyuo vikuu na vyuo vya kijamii Iringa
wamesema kuwa wanamuomba Lowasa agombee uraisi na wako tayari kumuunga
mkono. Wameyasema hayo wakiongea na waandishi wa habari wakati
wakijitolea damu na kufanya usafi ktk hospitali ya rufaa ya mkoa wa
Iringa.
Source: ITV habari

No comments:
Post a Comment