Taarifa hiyo ya Obama inajiri baada ya kifo cha kijana mmoja ambaye alikuwa amebadili jinsia yake na ambaye alijitia kitanzi mwezi wa Disemba baada ya kulazimishwa kuhudhuria mabadiliko hayo ya kimaumbile.
Thursday, 9 April 2015
Obama apinga ubadilishaji wa maumbile
Rais Barrack Obama amesema swala la kisaikolojia miongoni mwa vijana ili kubadilisha maumbile yao linafaa kukoma mara moja. Wengi wa wanaotaka kufanyia mabadiliko ya maumbile yao ni watu wa mapenzi ya jinsia moja hasa vijana.
Mshauri
mkuu katika Ikulu ya Marekani Valerie Jarrett amesema kuwa utawala wa
Bwana Obama umekubali kwa kauli moja kuwa ushahidi wa kisayansi
kuhusiana na maamuzi ya kujibadilisha maumbile, ni swala ambalo haliwezi
kukubalika kitaaluma na kimatibabu.
Taarifa hiyo ya Obama inajiri baada ya kifo cha kijana mmoja ambaye alikuwa amebadili jinsia yake na ambaye alijitia kitanzi mwezi wa Disemba baada ya kulazimishwa kuhudhuria mabadiliko hayo ya kimaumbile.
Taarifa hiyo ya Obama inajiri baada ya kifo cha kijana mmoja ambaye alikuwa amebadili jinsia yake na ambaye alijitia kitanzi mwezi wa Disemba baada ya kulazimishwa kuhudhuria mabadiliko hayo ya kimaumbile.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment