Rodgers pia anatarajiwa kuipatia Liverpool taji lao la kwanza tangu ishinde kombe hilo dhidi ya Cardiff chini ya ukufunzi wa Kenny Dalgish mwaka 2012.
Thursday, 9 April 2015
Liverpool kucheza nusu fainali ya FA
Wingu lililokuwa limetanda juu ya
kilabu ya Liverpool pamoja na meneja wake Brendan Rodgers baada ya
kushindwa mara mbili mfulululizo katika mechi za ligi kuu huko
Manchester United na Arsenal limeondolewa baada ya timu hiyo kuishinda
Blackburn Rovers 1-0 na hivyo kuelekea katika uwanja wa Wembley.
Huku
matumaini ya Liverpool kumaliza katika timu nne bora katika ligi ya
Uingereza yakididimia, umuhimu wa taji la FA unaimarika na kwamba
ushindi huo dhidi ya Blackburn unawakutanisha na Aston Villa katika
mechi ya nusu Finali.
Rodgers pia anatarajiwa kuipatia Liverpool taji lao la kwanza tangu ishinde kombe hilo dhidi ya Cardiff chini ya ukufunzi wa Kenny Dalgish mwaka 2012.
Rodgers pia anatarajiwa kuipatia Liverpool taji lao la kwanza tangu ishinde kombe hilo dhidi ya Cardiff chini ya ukufunzi wa Kenny Dalgish mwaka 2012.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment