Wanamgambo wa Islamic State wametoa
kanda ya video kupitia kwa mtandao ikiwaonyesha wakiharibu maeneo ya
thamani kubwa kwenye mji wa Nimrod nchini Iraq.
 |
| Mwanamgambo wa Islamic State akiharibu sanamu
|
Picha za
wanamgambo hao wakitumia misumeno ya umeme kukata sanamu, zinaonekana
kuthibitisha ripoti za mwezi uliopita kutoka kwa maafisa nchini Iraq
kuwa wanamgambo hao wameharibu mji wa kitamadanu wa Nimrod.
Wanamgambo hao hutumia tinga tinga na milipuko kuharibu mji huo ambao wakati mmoja ulikuwa ni mji mkuu wa himaya ya Assyrian.
No comments:
Post a Comment