Friday, 10 April 2015

BAYPORT FINANCIAL SERVICES YAENDESHA SHINDANO LA KUKOPA PESA KWA NJIA YA MTANDAO


Meneja Utawala wa Bayport Financial Services aliyezibwa macho, Evalyine Hall, akichagua koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz,  inayoendeshwa na taasisi hiyo ambapo washindi watatu ambao ni Hyasint Mbunda (Songea), Phaustine Mbilinyi (Dar es Salaam) na Allen Bishubo (Bukoba), walipatikana na kila mmoja kushinda Sh Milioni moja. Kushoto ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport, Ngula Cheyo na  kushoto ni  Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein.
Meneja Utawala wa Bayport Financial Services Evelyine Hall katikati akisoma koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya Mtandao inayoondeshwa na taasisi  hiyo ya kifedha. Kulia kwake ni Msimamizi wa Michezo ya Kubatisha Tanzania, Humud Abdulhussein na kushoto ni Ngula Cheyo, Meneja Masoko na Mawasiliano wa taasisi hiyo ya Bayport Financial Services.
Ngula Cheyo (katikati) ambaye ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa taasisi ya kifedha ya Bayport Financial Services akizungumza jambo katika droo ya kutafutwa washindi watatu wa bahati nasibu inayoandaliwa na taasisi hiyo ambao kila mmoja alishinda Sh Milioni moja.
Ngula Cheyo (katikati) ambaye ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa taasisi ya kifedha ya Bayport Financial Services akizungumza jambo katika droo ya kutafutwa washindi watatu wa bahati nasibu inayoandaliwa na taasisi hiyo ambao kila mmoja alishinda Sh Milioni moja. Kulia ni Humud Abdulhussein kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha na kushoto ni Meneja Utawala wa Bayport Financial Services, Evalyine Hall.

Shughuli ya kutafutwa washindi wa Kopa na Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz inaendelea.
Jamani huyu ndiye mshindi. Ndivyo anavyoenekana kusema Meneja Utawala wa Bayport Financial Services katika droo ya kutafutwa washindi watatu  waliokopa kwa njia ya mtandao.

No comments:

Post a Comment