Waziri Kabaka alisema mchana huu kwamba serikali pamoja na madereva wamekubaliana kukutana Aprili 18 mwaka huu kwa ajili ya kuzungumza njia mbadala ambayo inaweza kuwasaidia katika kutatua tatizo hilo. Waziri alilitaka jeshi la polisi nao kuondoa tochi za barabarani ambazo zilikuwa moja ya kero ya madereva barabarani.
Friday, 10 April 2015
BAADA YA TAMKO LA WAZIRI DALADALA JIJINI DAR ZAANZA KAZI
Waziri Kabaka alisema mchana huu kwamba serikali pamoja na madereva wamekubaliana kukutana Aprili 18 mwaka huu kwa ajili ya kuzungumza njia mbadala ambayo inaweza kuwasaidia katika kutatua tatizo hilo. Waziri alilitaka jeshi la polisi nao kuondoa tochi za barabarani ambazo zilikuwa moja ya kero ya madereva barabarani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment